ZIFAHAMU TABIA 12 AMBAZO ZITAKUTENGA NA WOKOVU
Roho ya Mazoea... Ndiyo itakayokupeleka pabaya...
jihadhari kwani unaweza kuiepuka;
1. Kupenda kukaa siti za nyuma ibadani...
2. Kupiga miayo kila wakati ibadani...
3. Kulala wakati ibada inaendelea...
4. Kutokusikiliza tape au cd za mahubiri ya Mchungaji au nyimbo za dini.
5. Kutokusoma au kununua vitabu vya dini vyenye kuelimisha..
6. Kujadiliana na wengine kuhusu maisha binafsi ya Mchungaji/mtumishi.
7. Kutokusoma BIBLIA na kujipa moyo utasoma baadae
8. Kutafuta makosa ya Mchungaji na kuyakuza.
9. Kumchambua na kumwekea viwango Mchungaji.
10. Kutokuamini ushauri wa Mchungaji.
11. Kutokujali upako wa Mchungaji.
12. Kutokuuona uungu wa Mchungaji.
Roho ya mazoea inaongoza kwa kuwafanya watu wasipokee....Utajikuta unasikia vitu vingi na bado mwishoni ukaingia jehanamu..
<<BARIKIWA NA SIFU KWA BWANA>>
No comments:
Post a Comment