TAMBUA MAANA YA KUSIFU
KUSIFU:-Ni kuelezea wasifu(wajihi) wa kitu au mtu.Sasa tunaposema tunamSIFU Mungu inamaanisha
KUSIFU:-kwa kiebrania maana yake ni
TEHILA:-yaani kutamka maneno kwa kuongeza vionjo na mbwembwe zaidi..Ni kuwa kama kichaa unaposifu
TEHILA:-yaani kutamka maneno kwa kuongeza vionjo na mbwembwe zaidi..Ni kuwa kama kichaa unaposifu
Hivyo basi KUSIFU Ni kuonyesha kwamba ni yeye peke yake anayestahili heshima na utukufu. Huwezi kumpigia saluti mtu usiyemwona, hivyo ni kwa njia ya kumwabudu Mungu katika roho na kweli ndipo tunapomwona kama alivyo na utukufu wake
NGUVU ILIYOPO KATIKA KUSIFU
Kusifu kunamfukuza adui:
unapokuwa una mSIFU Mungu shetani hawezi kukusogelea kabisa karibu
Kusifu na kuabudu sio kuimba tu
Watu wengi wanajua kuwa kusifu na kuabudu ni kuimba tu hapana kuna njia nyingi za kusifu au kuabudu, unaweza kutumia sanaa nyingine kumwabudu mungu au watu wengine wakamwabudu Mungu mfano:
Watu wengi wanajua kuwa kusifu na kuabudu ni kuimba tu hapana kuna njia nyingi za kusifu au kuabudu, unaweza kutumia sanaa nyingine kumwabudu mungu au watu wengine wakamwabudu Mungu mfano:
1:maigizo,
2:ngonjera,
3:shaili,
4:uchoraji,
Baadhi ya maandiko yanayo onyesha aina za kusifu:
1. Kusimama (Zab 135:1-2, 134:1)
2. Kuinua mikono (Zab 134:2, 28:2)
3. Kuinama au kupiga magoti (Zab 95:6)
4. Kupiga makofi (Zab 7:1)
5. Kucheza (Zab 149:3, 150:4, 2Sam 6:14)
6. Kicheko (Zab 126:2, Ayu 8:20-21)
7. Kufurahi (Kumb 12:11-12, Law 23:40)
8. Kutembea (2Nya 20:21-22)
9. Shangwe (Zab 95:1)
10. Kupiga kelele (Zab 66:1, Law 9:23-24)
11. Kupiga vigelegele (Zab 33:1, 32:11)
12. Kupaza sauti (Isaya 12: 6, Zab 42:4)
13. Kulia/ kutoa machozi katika roho mtakatifu

BARIKIWA KWA KUSIFU
No comments:
Post a Comment