Pages

Thursday, April 11, 2013

UPENDO


Upendo: Ni neno linalotumika kwa maana mbalimbali kuanzia hali ya nafsi hadi kwa Mungu. Linafanana na pendo, mapendo, mapenzi, n.k.


Hapa linatumika kwa maana ya juu zaidi kulingana na Kigiriki"agape" na Kilatini "caritas".
Katika teolojia ya Ukristo ni mojawapo kati ya maadili ya Kimungu, pamoja na imani na tumaini.

MUNGU anampenda kila mwanadam na ndio maana hata aliweza kumtuma YESU kwa ajili ya kufa kwa ajili yetu wandamu..
MUNGU anafurahishwa sana na SIFA kwa maana unatambua uwepo wake na umuhimu wake.

Barikiwa katika sifukwabwana.blogspot.com kwa mambo mengi ya SIFA kwa Bwana

No comments:

Post a Comment