Pages

Wednesday, July 17, 2013

ushirika na wewe-christina shusho

japo ni mengi yanakutokea kamwe hayataweza kukutenganisha na MUNGU wetu aliye hai.
Omba ushirika kwa MUNGU wakati wowote.. Yeye yupo pamoja na si kila tumwitapo/

barikiwa na nyimbo hii ya shusho..huku na wewe ukichukua wakati wako wa kuomba ushirika kwa BWANA MUNGU

Thursday, June 6, 2013

Siyabonga Jesu Version 2(wa hamba nathi)

Siyabonga Jesu Version 2(wa hamba nathi)

unapaswa kumshuru MUNGU kwa kila jambo analolifanya katikamaisha yako..

ndicho kinachomaanishwa kwenye wimbo huu..

siku zote sifu BWANA ipo kwa ajili yako.

Saturday, May 18, 2013

my GOD is BIG


MSIFU MUNGU kwa kuwa hakuna kama yeye ..
yeye ndiye muumba wa kila kitu kwenye uso wa dunia na pia ndiye anayetoa pumzi hivyo kumSIFU kutamfanya AWE JUU

SIFU katika BWANA ipo kwa ajiliyako

Kuna Tofauti Kubwa kati ya kuimba wimbo wa sifa na Kusifu


Kuna Tofauti KUBWA SANA Kati Ya Kuimba WIMBO Wa Kusifu Na KuSIFU Kwenyewe… 

Kuimba Wimbo Wa KuSIFU Ni Tendo La Kufungua MDOMO Na Kutoa Sauti Ya Wimbo, Ila KUSIFU

Wednesday, May 15, 2013

OBRIGADO



burudika na sifu katika BWANA na MOKOZI aliye hai

SIFU katika BWANA ipo kwa ajili yako......

Saturday, April 20, 2013

TABIA 12..

ZIFAHAMU TABIA 12 AMBAZO ZITAKUTENGA NA WOKOVU


Roho ya Mazoea... Ndiyo itakayokupeleka pabaya...
jihadhari kwani unaweza kuiepuka;

1. Kupenda kukaa siti za nyuma ibadani...
2. Kupiga miayo kila wakati ibadani...

Thursday, April 11, 2013

UPENDO


Upendo: Ni neno linalotumika kwa maana mbalimbali kuanzia hali ya nafsi hadi kwa Mungu. Linafanana na pendo, mapendo, mapenzi, n.k.

Monday, April 1, 2013

SIFU SASA

FURAHIA SIFA KUTOKA KWA MNIGERIA UCHE


PRAISE THE LORD AND U WILL NOT REMAIN THE SAME
(MSIFU BWANA NA HAUTABAKIA KAMA ULIVYOKUWA)

TAMBUA MAANA YA KUSIFU

TAMBUA MAANA YA KUSIFU

KUSIFU:-Ni kuelezea wasifu(wajihi) wa kitu au mtu.Sasa tunaposema tunamSIFU Mungu inamaanisha

(1)KWA KUMUINUA JUU
(2)KUMSHUKURU KWA KUMPAZIA SAUTI(SHANGWE)
(3)KUJISHUSHA CHINI KWA UNYENYEKEU

Wednesday, March 27, 2013

Tuesday, March 26, 2013

SIFU kwa bwana ni blog mpya kabisa ambayo itakufanya wewe ufurahi na kumuomba Mungu bila kujijua kupitia nyimbo za sifa.

maandiko yanasema msifuni bwana lkwa kuwa ni mwema na fadhili zake ni za milele.